Jackhammers for sale

Blues1

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
663
Reaction score
1,412
Kwa wale wadau wa uchimbaji
Used jackhammers zinauzwa kwa bei nafuu ya 500k kwa kila moja.
Kwa kila jackhammer unapata offer ya chisels tatu
Piga 0757513714 kupata.
 

Attachments

  • 20200604_110305.jpg
    104.7 KB · Views: 4
Mkuu jitahidi kwa kadri unavyoweza uweke taarifa za kutosha kwenye tangazo lako ili mtu kama mtu anaingia inbox aje kwa ajili biashara. Biashara nyingi zinazokua na taarifa nusu nusu zinaleta maswali mengi. Kuna watu ni wadau wazuri lakini wakiona taarifa haijitoshelezi wanakua na mashaka na biashara yenyewe.
Natumia free basics kwaio nashindwa kuapload picha humu. Nicheck kwenye hiyo namba nikutumie picha WhatsApp
 
Upo sahihi kabisa. Ngoja nifanye utaratibu iwezekanavyo niupload picha.
Maana hata mimi sipendi tangazo nusunusu
 
pictures added
 

Attachments

  • 20200604_110305.jpg
    104.7 KB · Views: 3
  • 20200611_141541.jpg
    93.8 KB · Views: 2
Kwa wale wadau wa uchimbaji
Used jackhammers zinauzwa kwa bei nafuu ya 500k kwa kila moja.
Kwa kila jackhammer unapata offer ya chisels tatu
Piga 0757513714 kupata.
Jackleg zinapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…