Jackie cliff amuachia wosia wake martin kadinda

Jackie cliff amuachia wosia wake martin kadinda

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.

Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya.


Katika maisha kila mtu ana yule rafiki mmoja (BFF) ambaye anamuamini na kumweka moyoni mwake kama ilivyo kwa Jackie na Marin.
 
Wosia gani huo! Tiririka mkuu...matatizo ya kutaka kutajirika haraka hayo yamemtokea puani.
 
Kwa hiyo huyo Martin kadinda alikua anajua binti anafanya kazi gan.? NDO URAFIKI GAN HUO
 
Wosia gani huo! Tiririka mkuu...matatizo ya kutaka kutajirika haraka hayo yamemtokea puani.

Kwamba kwa bahati mbaya akifariki maelekezo yote anayo martin kadinda.

Unajua shuguli za madawa kuna kufa pia kama yakipasukia ndani au unaweza nyongwa
 
Aroooo huyo martin kadinda natakiwa achukuliwe akasisdie upelelezi huko china
 
Ss kaka Mwema anasubiri nn kupiga story za kipolisi na uyo shosti Kadinda atakua anajua mengi.
 
Na huyu MARITINI naye akishaona demu anazo ye ni kudind.a tu...............sasa ukapatie mamlaka hiyo LIST.......ukimtaja na bosi wako Siwema shauri zako.........sijakutuma.....
 
ivi Huyu Dada c yule alikuwa kwenye shooting ya ngwea she got gwan au nimemfananisha
 
God ana majukumu yake na mengine amekasimu kwa Lucifer.........so usichanganye mambo.... Unamgeuza mwanao wa kumzaa zezeta ili uendeshe E Vogue na kuoga kwenye jacuzi...then unasema...ONLY GOD CAN JUDGE ME......
Haha nimecheka sana FYATU..tusimsingizie Mungu tumpe break..haha kwel lakn
 
God ana majukumu yake na mengine amekasimu kwa Lucifer.........so usichanganye mambo.... Unamgeuza mwanao wa kumzaa zezeta ili uendeshe E Vogue na kuoga kwenye jacuzi...then unasema...ONLY GOD CAN JUDGE ME........

Fyatuuuu...No Wonder!
 
Back
Top Bottom