Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
EPISODE II just releasedJackiline Wolper na Harmonize wamerudiana na wamefanya interview clouds radio kwenye XXL, wamedai kulikuwa na misunderstanding ila sasa wamerekebisha
Harmonize anadai kuna nyimbo amefganya video na Wolper atatokea kwenye video hiyo
Kama kawaida jina la msanii controversial Harmorapa liliibuka kwenye interiew hiyo amabapo wolper ameulizwa anajisikiaje ana boyfriend anayefananishwa na jamaa ambaye huyo jamaa anafananishwa na nyani? .....akashindwa kujibu
Jina kashesho nini maana yake?Mmmmh
Maana yake upole na unyenyekevuJina kashesho nini maana yake?
haya bana, lugha ya wapi hiyo?Maana yake upole na unyenyekevu