Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
ππ Wacha uchokozi broHongera kwake naona pia kwa wanaume Kamworor anaelekea kushinda mbio hizo. Waethiopia wanafuata kwa karibu huku Watanzania Ni watazamaji tu.
Hongera kwake naona pia kwa wanaume Kamworor anaelekea kushinda mbio hizo. Waethiopia wanafuata kwa karibu huku Watanzania Ni watazamaji tu.
Wasukuma na Wafipa wako wapi? Nyinyi Ni bure kabisa ham a lolote mnaloweza Ila kupiga mdomo na omba omba Tena mnajazana hapa Kenya na hamtambui kwa wakikuyu, wakalenjin ama hata wakamba, mnanyoshea vijibakuli vyenu kila mtu pasipo kujali kabila...mbona sasa unataka kujua kabila?Upuuzi kama huu ndiyo unanifanya niingilie mada kama hizi. Watanzania ni watazamaji, Wakikuyu wako wapi? Jepkosgei ni Mkalenjin, watu wa aterere mko wapi? Lazy Kikuyus.
Usikasirike bro huwa tunataniana tu.Upuuzi kama huu ndiyo unanifanya niingilie mada kama hizi. Watanzania ni watazamaji, Wakikuyu wako wapi? Jepkosgei ni Mkalenjin, watu wa aterere mko wapi? Lazy Kikuyus.
Usikasirike bro huwa tunataniana tu.
Haya Basi pambaneni na huyo Mkenya.Sikasiriki ila kujibu mashambulizi lazima .
Hahaa... Serikali yetu ndio ilifadhiri kwa 30% hayo mashindano. Hiyo $ 100,000 zawadi ya mshindi wamechanga wakazi wa Dar tena wa pale Manzese tu. πHongera kwake naona pia kwa wanaume Kamworor anaelekea kushinda mbio hizo. Waethiopia wanafuata kwa karibu huku Watanzania Ni watazamaji tu.
KibelaNashangaa hao wanariadha wataenda kuishi wapi sasa kama serikali imewatoa kwenye shamba?
Number 10, Mary ngugi..Upuuzi kama huu ndiyo unanifanya niingilie mada kama hizi. Watanzania ni watazamaji, Wakikuyu wako wapi? Jepkosgei ni Mkalenjin, watu wa aterere mko wapi? Lazy Kikuyus.
Huyo namba 10 akija Tz anakuwa jina tajika Tanzania yote na kumwagiwa misifa Kama ile ya mteule Magufuli...mapambio right, left and centre.Number 10, Mary ngugi..
Number 10, Mary ngugi..
Haha! π Kwenye riadha watz ni wapenzi watazamaji, miguu yenu yote miwili huwa ni ya kushoto.Upuuzi kama huu ndiyo unanifanya niingilie mada kama hizi. Watanzania ni watazamaji, Wakikuyu wako wapi? Jepkosgei ni Mkalenjin, watu wa aterere mko wapi? Lazy Kikuyus.
Wakenya waliibuka washindi kwenye NYC Marathon 2019, kwa wanawake na wanaume pia. Joyciline Jepkosgei na Geoffrey Kamworor, nafasi za pili pia zilinyakuliwa na wakenya Mary Keitany na Albert Korir.
wadanganyika wanatulet down sana kwa michezo.It confirms everything about them "lazy Bones"