Kwa wanawake, 4. Nancy Kiprop 10. Mary Ngungi. Nafasi ya 7 kwa wanaume, Stephen Sambu. [emoji1139][emoji1139][emoji1139] Hapo naona kuna hadi mkikuyu na mmaasai. Yaani kwenye mbio ambazo zilihudhuriwa na watu 50,000 kutoka kote duniani Tz hamkunyakua hata nafasi ya 40,000. [emoji38]