Jackline Mengi afunguka na kusema hajabadili wala kuhamisha kitu chochote cha Marehemu mumewe

Jackline Mengi afunguka na kusema hajabadili wala kuhamisha kitu chochote cha Marehemu mumewe

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Amesema bado anamkumbuka sana Mumewe mpendwa na hajawahi Kuhamisha au kubadili kitu chochote Nyumbani kwa Marehemu Mumewe Mpendwa

FB_IMG_16020548865475827.jpg
 
Jac bado mrembo 40's pia mzima kichwani.
 
Moja ya wanawake warembo kuwahi kuwakubali nchini.
 
mzee alikuwa ndina, sasa amewaachia watoto na mama yao wakambo msala
 
Apige mishe zake kimyakimya tu au kama bado anataman ustaa arudi kuimba
 
Back
Top Bottom