Jackline Ntuyabaliwe

mmmhh noo.. 4 me she is not, mbona kuna warembo kibao 2 wako kitaa, seme hajapata mwanya wa kuuza nyago...! frankly...4 me the most beautiful gal/ woman in the world iz ALICIA KEYS......!
 
ni mzuri ndio but not most beautiful woman achilia mbali ni the world hata hapa tz tu sio most beautiful kwa mtazamo wangu.
 
Mdada utadhani hajambi wala hanyi. Chakula ya Wazungu through and through.
 
Siyo mhaya.I believe ni muangaza or some sort. namfahamu dada yake mmoja anaitwa shimimana. Ofcourse she is beautiful. beauty is in the eyes of the beholder
 
mmmhh noo.. 4 me she is not, mbona kuna warembo kibao 2 wako kitaa, seme hajapata mwanya wa kuuza nyago...! frankly...4 me the most beautiful gal/ woman in the world iz ALICIA KEYS......!

you have my support on this! Jack bila makeup kitu fisi tu, uso una madoa tu kama sie!
 
Hivi alishiriki 'miss world' ya mwaka gani vile? Tunaweza kuanzia kwenye record hiyo kujadili/kutathmini kama kweli anashikilia record ya dunia kwa 'uzuri' (kwa sasa)!

 
Labda mzuri kwa nyie mnaopenda light skin.Binafsi napenda demu black awe black tii,kama rangi ya jongoo ile species kubwa.Hawa wa rangirangi siwazimii kabisaa.Kama kuwa mweupe ndiyo uzuri,bora nichukue mzungu tu,nijue moja
 
Fellas, give props where pros are due. I don't know her but she is very gorgeous.
 
Uzuri wa sura ama wa kitu gani. Uzuri uko na mambo mengi sio kusema uzuri tu
 
1. Hoyce Temu
2.
3.
.
.
.
infinity Jackline Ntuyabaliwe

It takes more than skin color to be beautiful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…