Jackline Sakilu avunja rekodi ya taifa ya Magdalena Shauri

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa ambayo iliyokuwa inashikiliwa na Magdalena Shauri kwa muda (1:06:37) toka tarehe 21 February 2020 kwenye Mbio za Ras Al Khaimah Half Marathon (U.A.E) kwenye njia hiyo hiyo, na wote ni Wanariadha kutoka (JWTZ).

Wakati wa Huo Huo, Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Alphonce Felix Simbu ashika Nafasi ya Kumi kwa Muda wa 1:00:28 kwenye Mbio hizo hizo.

Tunawapongeza Wote Kwa Kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.
 
Attachments

  • 4a38fd1f-9eba-4376-8307-b081c4336930.jpeg
    53.3 KB · Views: 5
  • 16118bd3-2bdc-4589-99ab-fdfc48e0d03d.jpeg
    65.7 KB · Views: 6
Mkuuu samahani kidogo jina lako la melubo limenikumbusha tulikua na mmasai mmoja anaitwa Melubo moodo Roshiro jkt mujibu wa sheria alikua anatuongoza kwenye mbio 🀣 🀣 🀣 🀣 ndiyo wewe mkuu?
 
Mkuuu samahani kidogo jina lako la melubo limenikumbusha tulikua na mmasai mmoja anaitwa Melubo moodo Roshiro jkt mujibu wa sheria alikua anatuongoza kwenye mbio 🀣 🀣 🀣 🀣 ndiyo wewe mkuu?
Sijui hata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tuwapongeze wadada wa tanzania , wanakuja vizuri kwenye Riadha
 
Mkuuu samahani kidogo jina lako la melubo limenikumbusha tulikua na mmasai mmoja anaitwa Melubo moodo Roshiro jkt mujibu wa sheria alikua anatuongoza kwenye mbio 🀣 🀣 🀣 🀣 ndiyo wewe mkuu?
Mepukori ole lendikinya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…