Jackline Silemu ITV

Namkubali sana hasa kwenye utamshi wa maneno na hisia kutokana na habari anayoisoma
 
Watz mara nyingi hatupendi vitu vizuri.Mdada wa watu kiukweli anajitahidi sana tena,kwa jinsi ninavyojua utaratibu wa itv mpaka mtu upewe kusoma habari ni lazima uwe umeiva kisawasawa.Bidii na kujituma ndio kumemfikisha hapo nothing personal.
 
...mwingine wa namna hii na aliyekuwa na mashauzi ya kufa mtu alikuwa ni Suzan George, mwanzoni mwanzoni wakati ITV ndio inaanza anza. Hivi aliendaga wapi yule bidada?

Alikua anaitwa Laura George mkuu
 
Nadhani ni tatizo la kimaumbile zaidi na wala sio mapozi ,yaani ndivyo alivyo tu na wala siyo shida anasoma vizuri tu na muhimu maneno yanasikika kwa upande wangu , angalia usomaji wa Godwin Lazima Mkono uchezecheze kama anaelekeza , haya Maulidi kitenge Matamshi yake, by the way Salma Dakota anakuja vizuri na katulia sio kama alivyokuwa anachamba kipindi cha redio na Hanifa lol !
 
Watz mara nyingi hatupendi vitu vizuri.Mdada wa watu kiukweli anajitahidi sana tena,kwa jinsi ninavyojua utaratibu wa itv mpaka mtu upewe kusoma habari ni lazima uwe umeiva kisawasawa.Bidii na kujituma ndio kumemfikisha hapo nothing personal.

wabongo kweli sio watu!! wakati ana report wakadai ohooo anabaniwa sura ile inatakiwa kuwa studio kwa usomaji wa taarifa ya habari, kuwa chiku liweno anatisha hasa akivaa yale mawani yake!! leo amepewa mala kama anawasuta watazamaji!!! kazi kweli kweli, kuwa hiyo kazi za kureport amwachie komandoo suzy(UFO SALO)!! Kuwa mtoto laini kama selem hazimfai!!anatakiwa kusoma habari tu, hizo nyingine wanaziweza kina komandoo kipensi(SAMU MAHELA) NA GEORGE MARATOO WA ITVIIIIIIIIIII!!!!
 
Hanifurahishagi kabisaa anaongea kama kabanwa na mlango
 

Yaani sisi kazini kwtu ikifika saa saba tunafu.gulia taarifa ya habari na kama ni salma dakota
Furaha inaongezeka zadi dada ana sauti nzuri sana
 

Attachments

  • 1426101916537.jpg
    22.4 KB · Views: 500
Duh..!!!
Huyu aliomuweka sijui kama anajua anachokifanya... !!!

Kwanza ana pozi zisizo endena na News Reporting.. Labda vipindi vya majarida huko

Afu anatumia nguvu isiyohitajika kwa kazi husika... Utafikiri anafundisha kumbe ni kutangaza tu... Inapunguza hata hamu ya kuifuatilia habari...

Fatma anaweza ana ile staha ya utangazaji wa habari za mida ile...

Huyu anafaa sana kwenye kipima joto.
 
Baba Desi

Nadhan utakua unamsema Laurah George ndo aliyekuwepo enzi hizo na Si Suzan George. Kulikuwa na Laurah George na Suzane Lukindo/Mungy aliendaga BBC London akarud na sasa hiv ni mmbos TBC I. Zaid ya hao wawil utakua bas umechanganya majina sa sijui unamsema nani hapa, Laura George or Suzane Mungy.
 
Last edited by a moderator:
Mmesikika kuanzia jumatatu atakuwa kama reporter
Sawa.!?
 
Wanabodi, amesikia na atajirekebisha .
 
...mwingine wa namna hii na aliyekuwa na mashauzi ya kufa mtu alikuwa ni Suzan George, mwanzoni mwanzoni wakati ITV ndio inaanza anza. Hivi aliendaga wapi yule bidada?

Mkuu ni Suzan George au suzan Mungi?
 
mi mdomo tu anavouweka wakati akiwa anaongea ndo ananishangaza...kuanzia leo fuatilieni mdomo wake anavoubinua utadhani anasuta watazamaji

Ht macho,jmn sijui ndio kurembua kuko vile. Khaaaa hd anaboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…