Jackline Wolper : 2020 nitamuunga tena mkono Lowassa

dada ukienda cdm beba msalaba wako kabisa, yani uende umejianda na lolote liwalo...hao viongoz wanakesi kama elfu, wanafamilia zao, wanawanchama wao muda wa kuanza mkumbuka mtu mmoja ni kazi sana. utawalaumu bure...kama wewe ni mwanaharakati utakua umenielewa, ila kama ulienda kwa maslahi binasfi hapo utapata shida kuwaelewa.
 
Kwani Lowassa kashatangaza anagimbea 2020?
 
Yaan huyu sijui hajielew sijui ana nin upande wa dini hana msimamo.vivyo hivyo akipata bwana mpagan bas atakuwa mpagan akipata muslim ataslim wakiavhana akipata mkristo anakuwa mkristo haya sasa upande wa vyama nako yaleyale kaachana na huyo bwana ake ambae boss wake ni ccm sasa hov anadai yeye ana chama yaan jack kwel we kubwa jinga
 
Reactions: KGM
Mfyuuuuu achangamki fursa Kwa homorapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…