Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya' habibi mie naingiaje tena ktk muktadha huu? astaghfur' llah/Kwahiyo Arabuni ndo soko la waliokosa waume.....eti kweli Abdulhalim?
Kwahiyo Arabuni ndo soko la waliokosa waume.....eti kweli Abdulhalim?
Kama anataka kuja kuolewa Uarabuni, ajiandae kwa haya pia;
1/Kusilimu na kuwa muislam
2/Kupewa talaka wakati wowote akizingua.
3/Kuwa mke mwenza
4/Kuzaa watoto wasiopungua watatu.
5/Kukaa ndani zaidi kuliko kuzurura mitaani.
6/Kuvaa mavazi ya kufunika mwili mzima.
7/Kuswali na kufunga mwezi wa Ramadhani.
8/Kuishi katika mfumo dume.
9/Kufanya mapenzi kwa utamaduni wa kiarabu.
10/Kuachana na Tasnia ya Filamu.
Kwa jinsi ninavyomtamani, natangulia huko Arabuni. Aseme ni Arabuni wapi? Qatar, U.A.E au? Afafanue tafadhali.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Iraq.....
Kama anataka kuja kuolewa Uarabuni, ajiandae kwa haya pia;
1/Kusilimu na kuwa muislam
2/Kupewa talaka wakati wowote akizingua.
3/Kuwa mke mwenza
4/Kuzaa watoto wasiopungua watatu.
5/Kukaa ndani zaidi kuliko kuzurura mitaani.
6/Kuvaa mavazi ya kufunika mwili mzima.
7/Kuswali na kufunga mwezi wa Ramadhani.
8/Kuishi katika mfumo dume.
9/Kufanya mapenzi kwa utamaduni wa kiarabu.
10/Kuachana na Tasnia ya Filamu.[/QUOTE
Mapenzi ya kiarabu ndio nini? Kupigwa kipara au?