Jackline Wolper akifanya mazoezi

hivi kuwa msanii ni kuna umuhimu au ulazima wa hayo matatuu maana unakuta akiwa hajawa maarufu wanakuwa wazuri tu wakipata majina sasa duuh full kujichora kama wehu kuiga kunaboa
cheki uyo rangi nzur ila iyo michoro kama kenge vile kiunon mgongon mikononi WTF
 
Hakuna kitu, wasanii wengi wa kibongo wanaishi kwa kuact
 
mazoezi gani ayo kutwa kucha kutafuta picha za kuweka instagram!!! ivi warumi bwana ake uyu dada sasa ivi ni nani?
 
ha ha ha muacheni anafanya mazoezi
 
Hilo ndo kubwa kigogo,haha hana cha zoezi huyo anaonyesha michoro na kiuno chake kipana km pazia
 
mimi huwa ananichoshga tu pale anapojirekodi amelegeza romo na macho huku akiyazungusha kama kinyonga, kama vile anaingiziwa dudu.
 
Picha nyingine amepiga kama mjuzi..anajaza server tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…