Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Rubbish, hayo ni yao wenyewe, kuolewa mchezo?
Rubbish, hayo ni yao wenyewe, kuolewa mchezo?
changamke ukatoe pesa ila iwe Big Big Money na vigezo usifirisike
Wapi imesemwa kuwa inahitajika big money?
unafikiri huyo utamchukua kwa pesa za kimandazi? uliza ma x zake wamefirisika sasa
Huyu si anakoboa wenzake? Sasa akiolewa mademu zake wataishije?
Lakini si kuna habari iliwekwa hapa kwamba bibi yake alimuulizia kuhusu mtoto, jack akajisikia vibaya sana na akasema kuwa hajapata mwanaume, sasa kwa uhaba wa wanaume ulivyo unadhani mahali kubwa ni ishu kwa used?
Kwani keshajua kuondoa harufu kwenye papuchi?