Jackline Wolper asema ameokoka sasa, anaenda mbinguni

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Mtumishi wa Mungu aliehai alitangaza kuwa sasa ameshaokoka, anampenda Yesu na Yesu akirudi nae atanyakuliwa kwenda Mbinguni

Hongera sana Jackline Wolper, tunaomba usiokoke roho turn bali na mwili wako wote uokoke pamoja na nyepo zote ulizonazo ziokoke hata manyonyo yako yote yaokoke

Mimi nimefurahi kama kweli ameokoka mana Biblia inasema Mbinguni watakuwepo na Makahaba pia, acheni Maandiko yatimie Parapanda ikilia utashangaa unamkuta na Wema Sepetu na Irene Uwoya nao wamenyakuliwa

Wokovu ni kwa ajili ya watu wote

We endelea tu kuwachukia... Mungu Hapendi

 
Huyu haelewiki ashabadili kuwa muislam yaani hapa mpe miezi miwili apate danga la kiarabu litangaze nia nakwambia ataitwa chausiku na shungi kubwa
Hihihihi
Uuuwi
 
Bongo movie maigizo kila kona. Ona hapa shamsa ndoa ishaanza mshinda
 
Usanii hata kumsaiinia Mungu!! usilikejeli jina la Bwana .

2 Petro 3:3 Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe,

Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Ukiwa wa Kristo hata watu watakushuhudia matendo na imani vitaendana. Petro alijifanya mjanja wa kumkana lakini hakuweza maana alifanana Naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…