[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Huyu haelewiki ashabadili kuwa muislam yaani hapa mpe miezi miwili apate danga la kiarabu litangaze nia nakwambia ataitwa chausiku na shungi kubwa
majanga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
hahahahaaAsee hata nimesahau nilitaka kusema nini hahahaha.. 😂
Hihihihi
Uuuwi
Hajafulia naskia ana hela skuhiziKuokoka!!! Mhmmm! Kaokoka kafulia!!!?
vepe?
Hela apate wap na madanga sasa yanatumbuliwa kila uchao!Hahahahaha anahela skuhizi Wolper sio mwenzio
Kwahiyo ukiokoka unakuwa umeishiwa sio? !
kiruHela apate wap na madanga sasa yanatumbuliwa kila uchao!