Jackline Wolper kavishwa pete ya uchumba

Namsihi Wolper asiolewe na huyo bwana.yeye bd kjn atampata wake tu muda ukifika. Sasa mume mwenyewe kitu gn ana mke na watoto? Au kama dini yake inaruhusu ukewenza ruksa.
 
Attachments

  • qqqqq.png
    134.9 KB · Views: 1,153
Namsihi Wolper asiolewe na huyo bwana.yeye bd kjn atampata wake tu muda ukifika. Sasa mume mwenyewe kitu gn ana mke na watoto? Au kama dini yake inaruhusu ukewenza ruksa.

Ingekuwa huu ushauri / ujumbe kw Wolper, umeandika Instagram angekujibu...
 
warumi wambea tujinyonge.......
Ndo kwanza bibie kapost facebook kuwa ana mimba changa sana ...
Mume wa ntu si bongo movie
 
Last edited by a moderator:
warumi wambea tujinyonge.......
Ndo kwanza bibie kapost facebook kuwa ana mimba changa sana ...
Mume wa ntu si bongo movie

Ukiona kurubembe amekaba mahali juu kuna umatemate ila hao wacongo matapeli 2 .......tumpe muda nae atakua mweupe kma wolper mana carolite ina undugu nae
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…