Jackline wolper na wema kumwagwa steps awards

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wasanii classic,next level na wenye majina makubwa apa bongo,wema sepetu na jackline wolper wamemwagwa kwenye kinyang'anyiro cha muigizaji bora wa kike,waliokuwa wanawania tuzo za mwigizaji bora wa kike ni odama,riyama,aunt ezekiel, irene uwoya na wastara ambapo tuzo hiyo ilikwenda kwa irene uwoya..
 
naona baada ya ban uko bize kupost!!!!

Jifunze kuandika vizuri!!!!!!!!!!!!!!!
 
mauzo yamekua mengu kuliko kupiga kazi hahaha
 
kwangu Mimi Riyama alistahili kuchukua tuzo.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…