Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Ni Kamanda wa ukweli aisee!! Namkubal sana huyu dada...
Ni kati ya wasanii watakaoingia kwenye vitabu vya kumbukumbu ya mabadiliko baada ya oct 25..
Ukawa wala siwaflag hata kidogo,kama Ccm nao navyowadisi siku lowasa akibeba nchi nahama nchi hii naenda kuishi bora hata ulaya vijijini ulaya nako si kuna vijiji wazee?au..?
Huyu dada yuko vizur ni bonge la kamanda anafanya kampeni ki stadi sana mbunifu, ana msimamo dah nimemkubali...sio lazima na ww umkubal ila mm nimemuelewan..big up sana Jackline!
Hehe angekuwa CCM ingekuwa nongwa na tungesikia kuwa ni msaliti,kumbe wakati nyie miita wasaliti hawa wasanii wapo kikazi zaidi sawa na huyo Wolper anavyotumika huko Chadema ndio hata wengine wanatumika huko CCM,wote hatuwezi kuwa sawa.Ni dada anaejielewa sana.
Jackline anajua matatizo ya wasanii.
Hehe angekuwa CCM ingekuwa nongwa na tungesikia kuwa ni msaliti,kumbe wakati nyie miita wasaliti hawa wasanii wapo kikazi zaidi sawa na huyo Wolper anavyotumika huko Chadema ndio hata wengine wanatumika huko CCM,wote hatuwezi kuwa sawa.
Ubungo Postaaa. . .Chai .. Usalama. . . Unaingia. . . . . . . .wapiga debe wana swaga sana!!!!!
Ukawa wala siwaflag hata kidogo,kama Ccm nao navyowadisi siku lowasa akibeba nchi nahama nchi hii naenda kuishi bora hata ulaya vijijini ulaya nako si kuna vijiji wazee?au..?