lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,430 Reaction score 1,688 Aug 22, 2015 #1 tukumbushane huu mchezo wa jackpot bingo kwa anaye ukumbuka. ni wa miaka ya 2002 au 2003 watu walivuna mamilion miaka hyo. Kwa miaka hii haupo tena huu mchezo hpa TZ
tukumbushane huu mchezo wa jackpot bingo kwa anaye ukumbuka. ni wa miaka ya 2002 au 2003 watu walivuna mamilion miaka hyo. Kwa miaka hii haupo tena huu mchezo hpa TZ
I Islam005 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,354 Reaction score 3,623 Aug 22, 2015 #2 Kwahiyo?
meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,425 Reaction score 4,768 Aug 22, 2015 #3 Hapa ndipo mengi alipokosana na serikali. Huu ulikuwa utapeli kama kikombe cha babu. Ni miaka ya tisini mwishoni
Hapa ndipo mengi alipokosana na serikali. Huu ulikuwa utapeli kama kikombe cha babu. Ni miaka ya tisini mwishoni
lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,430 Reaction score 1,688 Aug 23, 2015 Thread starter #4 Malcolm05 said: Kwahiyo? Click to expand... tunakumushana tu mkuu, mana ni mchezo uliobamba sana miaka hiyo. kama unakumbuka chochote kuhusu huo mchezo wewe tupia hapa tujifunze
Malcolm05 said: Kwahiyo? Click to expand... tunakumushana tu mkuu, mana ni mchezo uliobamba sana miaka hiyo. kama unakumbuka chochote kuhusu huo mchezo wewe tupia hapa tujifunze