Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
Nitashukuru Mkuu maana Huyu mtu namtafuta kweli kweli. Popote alipo tafadhali au mwenye taarifa zake.Ngoja nikuulizie kwa Wana urambo ntarud hapa jukwaani kukupa mrejesho.
Ntakusaidia kupost na kuulizia kwenye community mbali mbali za wanaurambo ngoja tuonee.Nitashukuru Mkuu maana Huyu mtu namtafuta kweli kweli. Popote alipo tafadhali au mwenye taarifa zake.
Sina uhakika kama Huyu jamaa ni WA Urambo au alipelekwa kufanya kazi. Lakini nadhani magroup ya wafanyakazi wa posta hususani vijana wa zamani wanaweza kuwa na habari yoyote kuhusiana na Huyu mwamba.Ntakusaidia kupost na kuulizia kwenye community mbali mbali za wanaurambo ngoja tuonee.
Kabisa ,maana hata Mimi Kuna dada natamani kumtafuta ila Sasa kumpost huku kwingine na picha zake ,watu wa hili jukwaa wataanza mitusiLianzishwe jukwaa maalum la kutafuta wapendwa wetj