Jackson Mbando tueleze - TIGO uliondoka kwa hiari au kutimliwa?

Jackson Mbando tueleze - TIGO uliondoka kwa hiari au kutimliwa?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Wakuu

Huyu Afisa uhusiano wa zameni Jackson Mbando nimeona Tangazo kwenye gazeti la leo la Mwananchi, vipi pale Tigo jamaa alifukuzwa kwa kashfa gani na sasa kajiribu Airtel????
attachment.php

Jackson Mmbando (pichani kushoto akigawa misaada siku yake ya kwanza kazini Jumatatu hii) kwa kupata nafasi ya kupiga mzigo Airtel Tanzania kama bosi wa Mahusiano wa kampuni hiyo ya simu za mikononi.
 
Attachments

  • IMG-20110720-00742.jpg
    IMG-20110720-00742.jpg
    53.6 KB · Views: 804
Ame hamia Airtel, we bado unasubiri nini? hamia Airtel mkuuu..... Pia acha kuwa na dhana potofu kuwa mtu akiacha kazi ofisi flani na kwenda nyingine kaiba au kafukuzwa kazi sivyo kabisa mkuu..... Maisha haya tuna angalia maslahi zaidi!
 
Yupo na mwingine Vida Lulu Mbelwa...nadhani kila mtu inabidi ahamie airtel,wewe unasubiri nini?
 
Ame hamia Airtel, we bado unasubiri nini? hamia Airtel mkuuu..... Pia acha kuwa na dhana potofu kuwa mtu akiacha kazi ofisi flani na kwenda nyingine kaiba au kafukuzwa kazi sivyo kabisa mkuu..... Maisha haya tuna angalia maslahi zaidi!
sio kila wakati uangalie maslahi kuna wakt mazingira ya kazi yanakuwa mabaya hata kama wanakulipa vizuri..hivyo sio sahihi kusema kila anayehama sehemu moja kwenda nyingine kafuata maslahi..jaribu kusoma ndani ya mistari sio nje..
 
hapana haijaiba, kutokana na nafasi alokua nayo tigo ilimfanya afahamike sana, sasa ni hatua ya kawaida sana kwa tigo kuwaarifu watu kuwa si mfanyakazi tena wa tigo
 
sio hatua ya kawaida banaa! kama ni hivyo mbona kina shyrose na saida kilumanga wangepamba magazeti? inaweza kuwa hatua ya kuahamaki! big up kaka, u knw all abt overstaying ur welcome! kwea ngazi, kwea!
hapana haijaiba, kutokana na nafasi alokua nayo tigo ilimfanya afahamike sana, sasa ni hatua ya kawaida sana kwa tigo kuwaarifu watu kuwa si mfanyakazi tena wa tigo
 
Sio kawaida kuwabandika watu kama hawajafanya kosa,nakumbuka Kenya kuna manager mmoja aliishtaki kampuni kwa kumuwekea tangazo huku hajafanya kosa lolote na alihisi amedhalilishwa baada ya kuhamia kampuni pinzani na alilipwa mamilioni kama fidia na sasa hivi huwezi kufanya hivyo inabidi upite polisi wakupe barua kama kuna kosa ndio magazeti yapokee tangazo.
 
Ame hamia Airtel, we bado unasubiri nini? hamia Airtel mkuuu..... Pia acha kuwa na dhana potofu kuwa mtu akiacha kazi ofisi flani na kwenda nyingine kaiba au kafukuzwa kazi sivyo kabisa mkuu..... Maisha haya tuna angalia maslahi zaidi!

haswaaaa ukiona hapaeleweki unaswepa
 
sijui na mimi nihamie????!!! ngoja nikajifirie kwanza
 
hapana haijaiba, kutokana na nafasi alokua nayo tigo ilimfanya afahamike sana, sasa ni hatua ya kawaida sana kwa tigo kuwaarifu watu kuwa si mfanyakazi tena wa tigo

inasemekana dogo na wenzake wamepiga ishu mara kadhaa mpaka kuja kushtukiwa akawai yeye kusepa kabla hawaja mpiga chini ... ikumbukwe mwenzake alishapigwa chini siku moja kabla so na yeye akawahi kusepa kwa kuwapa 24hrs ... so he was ahead of them! nasikia issue ya mshiko siyo kweli kwani so far wanaojua mishahara ya tigo they can tell u abt that.
 
wamepiga sana pale, iv been there, kuna kitimtim cha nguvu so sishangai kijana kukimbia kabla jumba bovu halijamuangukia
 
Kwa upande wangu nachukia sana watu hasa vijana ambao wanakuwa kwenye nafasi nzuri kazini halafu wanaondoka kwa 24hrs notice... hii profesionally inaonyesha kuwa bado hujakomaa.. hata kama Airtel walikuwa wanamuhitaji au wamepanda dau kubwa namna gani angewaambia wampe mwezi mmoja ila iweze kukabidhi ofisi.. yaani mimi naona bado dogo anautoto...
 
Back
Top Bottom