Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
sio kila wakati uangalie maslahi kuna wakt mazingira ya kazi yanakuwa mabaya hata kama wanakulipa vizuri..hivyo sio sahihi kusema kila anayehama sehemu moja kwenda nyingine kafuata maslahi..jaribu kusoma ndani ya mistari sio nje..Ame hamia Airtel, we bado unasubiri nini? hamia Airtel mkuuu..... Pia acha kuwa na dhana potofu kuwa mtu akiacha kazi ofisi flani na kwenda nyingine kaiba au kafukuzwa kazi sivyo kabisa mkuu..... Maisha haya tuna angalia maslahi zaidi!
hapana haijaiba, kutokana na nafasi alokua nayo tigo ilimfanya afahamike sana, sasa ni hatua ya kawaida sana kwa tigo kuwaarifu watu kuwa si mfanyakazi tena wa tigo
Ame hamia Airtel, we bado unasubiri nini? hamia Airtel mkuuu..... Pia acha kuwa na dhana potofu kuwa mtu akiacha kazi ofisi flani na kwenda nyingine kaiba au kafukuzwa kazi sivyo kabisa mkuu..... Maisha haya tuna angalia maslahi zaidi!
hapana haijaiba, kutokana na nafasi alokua nayo tigo ilimfanya afahamike sana, sasa ni hatua ya kawaida sana kwa tigo kuwaarifu watu kuwa si mfanyakazi tena wa tigo