Jacky Mengi aka Jezebel's Daughter

Ila kama amefanya hivyo kweli amechuma dhambi ya bure, mtu mwenyewe alishajifia yule angevuta subira kidogo tu angeondoka mwenyewe
 
Huyu manzii ni mmbeyaa kinomaa....!!
Tumesha choka nahizi story...
 
People who like to talk about others have nothing to present about themselves
 
Kuna wakati tunabebeshwa mizig isiyo yetu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
mbaya zaidi unaibeba kichwani bila kata huku ukijikaza kiume ukilia na kuugulia ndani kwa ndani machozi yake ni yakiwa kisukari na kupunguza uwezo wa tendo la ndoa
 
Wewe unaropoka tu hivi ulishawahi Kufiwa hata na ndugu tu mliyeishi pamoja? Hakuna maumivu yasiyoelezeka kama wakati jeneza linashushwa kaburini mimi nilizimia nikazinduka wameshazika sikujua kilichoendelea
usilazimishe kila mtu azimie kama wewe.

wewe ni wewe na jacky ni jacky, usikariri maisha.
 
Kila mtu ahangaikie maisha yake....tetesi siku zote haina uhalali mpaka ithibitishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…