Jacky Mengi na Umaarufu wa kutisha.

Jacky Mengi na Umaarufu wa kutisha.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Few days after her husband departed, Jina la JACKY MENGI ndio Jina liliongozwa kutajwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii, umaarufu wake umeongezeka maradufu Mara Mia ya ilivyokua awali kabla ya kifo cha mumewe, ndiye staa anayeongoza kwa kuzungumziwa zaidi kwenye mitandao .

SCANDAL ya kuchepeka na mwanaume mwenye asili ya kiarabu ambaye pia millionaire imeongeza nong'ono na kufanya watu wengi wavutiwe kumjua zaidi JACKY na kutamani kusikia habari zake .

UTAJIRI wa marehemu mume wake na Mali alizoacha zimewafanya watu wavutiwe zaidi kujua hatma ya mrembo huyu na urithi wa kutisha alioachiwa na mume wake.

BIFU lake na watoto wa marehemu , ambapo bila kupepesa macho ukiangalia vizur Kwenye msiba utajua kuwa jacky Hana mawasiliano mazuri na watoto wa mume wake, hivyo watu wanapenda kujua, ni hatma ya jacky baada ya kifo cha mumewe.

MASTAA wengi wa kike wameonyesha kutamani nafasi ya jacky, hivyo imefanya mrembo huyo azidi kuzungumziwa either kwa mabaya au mazuri na mastaa wenzie.

HESHIMA, bila shaka Jacky alikua akiheshimiwa japo kwa kinafiki na mastaa pamoja na viongozi wa serikali sababu ikiwa moja tu ni heshima na nafasi ya mume wake kwenye jamii , hivyo jacky alikua hawezi kuzungumziwa vibaya hadharani kama ilivyokua hivi Sasa ambapo kila mtu anamshutumu na kumtukana matusi ya nguoni.

USTAA ni mzigo wa mwiba, ukiubeba ni lazima ukuchome, hivyo jacky anatakiwa awe mvumilivu kwenye kipindi hiki cha ustaa na maisha mapya aliyoingia ya bila mumewe.

LIFE STYLE Kila mtu anataka kujua life style ya jacky itakavyokua baada ya kifo cha mumewe. Wengi wanatamani kujua kama hadhi yake itashuka au kupungua na ataishi wapi na kuendesha Gari gani na atatoka kimapenzi na nani ?

Mi nadhani hiki Ndo kipindi cha jacky kutumia vizur umaarufu wake kwa kufanya vitu vya maana kwenye jamii na kujiingizia kipato, maana sio siri kwa wanawake yeye Ndo anayeongoza kwa Sasa , kutokana na utajiri wa mume wake na scandal nyingi ambazo watu wanataka kujua kupitia yeye.
 
Wachaga wana utaratibu wa kuandika husia kuhusu matrimonial properties kwa kuzingatia sheria za kimila customary laws ndio maana wanawake wa kimachame wanawauwa wanaume kabla hawajawaandikia urithi watoto ili wazitumie wanavyotaka wao.
Hivyo msitegemee Jacky kutumia Mali za mengi kula bata na viben ten kwakuwa hizo Mali ni za watoto wake na yeye anakuwa akisimamia tu kwa uangalizi mkali kutoka kwa ndugu hadi watoto watakapo kuwa wakubwa wakabidhiwe mali zao.
 
Wachaga wanutaratibu wa kuandika husia kusu matrimonial properties kwa kuzingatia sheria za kimila customary laws ndio maana wanawake wa kimachame wanawauwa wanaume kabla hawajawaandikia urithi watoto ili wazitumie wanavyotaka wao.
Hivyo msitegemee Jacky ski tumia Mali za mengi kula bata na viben ten kwakuwa hizo Mali ni za watoto wake na yeye anakuwa akisimamia tu kwa uangalizi mkali kutoka kwa ndugu hadi watoto watakapo kuwa wakubwa wakabidhiwe mali zao.
Kama mali ni za watoto (pamoja na wa kwake) basi itakuwa vizuri, makabila mengine hawajali hilo, wanafukuza mama pamoja na watoto wake. Inasikitisha sana!
 
Wachaga wana utaratibu wa kuandika husia kuhusu matrimonial properties kwa kuzingatia sheria za kimila customary laws ndio maana wanawake wa kimachame wanawauwa wanaume kabla hawajawaandikia urithi watoto ili wazitumie wanavyotaka wao.
Hivyo msitegemee Jacky kutumia Mali za mengi kula bata na viben ten kwakuwa hizo Mali ni za watoto wake na yeye anakuwa akisimamia tu kwa uangalizi mkali kutoka kwa ndugu hadi watoto watakapo kuwa wakubwa wakabidhiwe mali zao.

Ooh apo nimekuelewa , maana wamachame kwa kuua waume zao hawajambo ukienda huko kijijini makaburi mengi utakuta ni ya wanaume tu

Hata mke wa mengi nilisikia alijaribu kumuua mengi kwa sumu , bahati nzuri house boy akamtonya mzee asile chakula kina sumu, houseboy akakimbia, nasikia houseboy alikuja kujengewa jumba la maana
 
Huyu Jack atakuwa amepigwa butwaa huko aliko maana hadhi yake imeporomoka ghafla kutoka boss lady hadi gold digger. Haamini kinachotokea maana ni moja kati ya wadada waliokuwa wanaheshimika sana kumbe heshima ilikuwa ya kinafiki...ptuuu watanzania nimewanawa
 
Wachaga wana utaratibu wa kuandika husia kuhusu matrimonial properties kwa kuzingatia sheria za kimila customary laws ndio maana wanawake wa kimachame wanawauwa wanaume kabla hawajawaandikia urithi watoto ili wazitumie wanavyotaka wao.
Hivyo msitegemee Jacky kutumia Mali za mengi kula bata na viben ten kwakuwa hizo Mali ni za watoto wake na yeye anakuwa akisimamia tu kwa uangalizi mkali kutoka kwa ndugu hadi watoto watakapo kuwa wakubwa wakabidhiwe mali zao.
Klynn hana chake pale wale mapacha ndio matajiri wapya in town....richsons
 
Huyu Jack atakuwa amepigwa butwaa huko aliko maana hadhi yake imeporomoka ghafla kutoka boss lady hadi gold digger. Haamini kinachotokea maana ni moja kati ya wadada waliokuwa wanaheshimika sana kumbe heshima ilikuwa ya kinafiki...ptuuu watanzania nimewanawa

Mengi kaondoka kwa heshima yake, Sasa hivi atakua anachambika sana tu
 
Hapa jirani kuna jirani wa mengi nchaga kaja kumtembelea binti yake, msione watu wako kimya,

Watoto walivyofika Dubai Jack hakuwa hospital. Na mengine yote yaliyojiri Dubai huyu Dada anaporomoka ndani ya mwaka. Sema ana madanga yake mawili, maisha yataenda.

Pesa huwa marehemu anaondoka Nazo. Jack pale ana assets kama nyumba amvavyo haviuziki, pesa kwenye account hizo uishaga mapema sana. Labda kudanga

Kama analala kwenye jumba zuri, akidanga kama zari maisha yanasonga.

Ndani ya miaka miwili, mtamuona akibadirusha picha insta na madanga, kwa sasa atapretend ila tabia haifichiki.

Nasikia kuna Siku nafikiri mwaka Jana Mzee alikuta SMS kwenye simu, hakupenda hicho kitu akafunika. Maisha yakasonga.
 
Back
Top Bottom