warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Few days after her husband departed, Jina la JACKY MENGI ndio Jina liliongozwa kutajwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii, umaarufu wake umeongezeka maradufu Mara Mia ya ilivyokua awali kabla ya kifo cha mumewe, ndiye staa anayeongoza kwa kuzungumziwa zaidi kwenye mitandao .
SCANDAL ya kuchepeka na mwanaume mwenye asili ya kiarabu ambaye pia millionaire imeongeza nong'ono na kufanya watu wengi wavutiwe kumjua zaidi JACKY na kutamani kusikia habari zake .
UTAJIRI wa marehemu mume wake na Mali alizoacha zimewafanya watu wavutiwe zaidi kujua hatma ya mrembo huyu na urithi wa kutisha alioachiwa na mume wake.
BIFU lake na watoto wa marehemu , ambapo bila kupepesa macho ukiangalia vizur Kwenye msiba utajua kuwa jacky Hana mawasiliano mazuri na watoto wa mume wake, hivyo watu wanapenda kujua, ni hatma ya jacky baada ya kifo cha mumewe.
MASTAA wengi wa kike wameonyesha kutamani nafasi ya jacky, hivyo imefanya mrembo huyo azidi kuzungumziwa either kwa mabaya au mazuri na mastaa wenzie.
HESHIMA, bila shaka Jacky alikua akiheshimiwa japo kwa kinafiki na mastaa pamoja na viongozi wa serikali sababu ikiwa moja tu ni heshima na nafasi ya mume wake kwenye jamii , hivyo jacky alikua hawezi kuzungumziwa vibaya hadharani kama ilivyokua hivi Sasa ambapo kila mtu anamshutumu na kumtukana matusi ya nguoni.
USTAA ni mzigo wa mwiba, ukiubeba ni lazima ukuchome, hivyo jacky anatakiwa awe mvumilivu kwenye kipindi hiki cha ustaa na maisha mapya aliyoingia ya bila mumewe.
LIFE STYLE Kila mtu anataka kujua life style ya jacky itakavyokua baada ya kifo cha mumewe. Wengi wanatamani kujua kama hadhi yake itashuka au kupungua na ataishi wapi na kuendesha Gari gani na atatoka kimapenzi na nani ?
Mi nadhani hiki Ndo kipindi cha jacky kutumia vizur umaarufu wake kwa kufanya vitu vya maana kwenye jamii na kujiingizia kipato, maana sio siri kwa wanawake yeye Ndo anayeongoza kwa Sasa , kutokana na utajiri wa mume wake na scandal nyingi ambazo watu wanataka kujua kupitia yeye.