Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Mar 22, 2022 #21 Apumzike kwa amani
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Mar 22, 2022 #22 Sala za spika wa aliyepita zimesikiwa na Mungu,maana huyu Qoulanya ni spika wa mchongo,Museveni alimchomoa kimagumashi spika aliyepita Hon Rebeka na kumchomeka huyo hayati,naye amekaa mwaka mmoja tu na kulala,mungu amrehemu marehemu
Sala za spika wa aliyepita zimesikiwa na Mungu,maana huyu Qoulanya ni spika wa mchongo,Museveni alimchomoa kimagumashi spika aliyepita Hon Rebeka na kumchomeka huyo hayati,naye amekaa mwaka mmoja tu na kulala,mungu amrehemu marehemu
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Mar 22, 2022 #23 Mpinzani wake kwenye kiti Cha usipika hajawahi kanyaga bungeni nimbunge na niwaziri nilicheka Sana
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Mar 22, 2022 #24 Rufiji dam said: Mstaafu wa kwetu yupo where? Click to expand... India huko penginepo ama wanauongezea unyayo urefu au wanazidi kupunguza wanasiasa kutunza afya wavivu sana
Rufiji dam said: Mstaafu wa kwetu yupo where? Click to expand... India huko penginepo ama wanauongezea unyayo urefu au wanazidi kupunguza wanasiasa kutunza afya wavivu sana
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Mar 23, 2022 #25 huyu mjinga alimfananisha museveni na jesus christ
Irenga JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 2,639 Reaction score 1,873 Mar 26, 2022 #26 very sad, Jacob may your soul rest in peace.