Well said walahiNdio maana mi huwa sikubaliani na wanaosema eti Israel ile ndio Taifa teule,taifa gani teule linafanya mauaji kwa watu majirani zao wa asili pamoja na kueneza chuki duniani kote.......hata hao wanaoitwa Waisrael walioko huko huwa sio wenyewe hao ni wazungu tu walikusanywa kupelekwa huko
Kama hujui kitu ni bora uwe unakaa kimya tuu kuliko kupayuka kama hamisa,Hawa ndio wanaume sasa... Waliobaki wote Duniani ni wavulana. Kazi ya kusimika taifa la kikristo katikati ya taifa la magaidi wa kiislamu ni ya kiume kweli kweli.
Salute Rothschild family.
Hawa ndio wanaume sasa... Waliobaki wote Duniani ni wavulana. Kazi ya kusimika taifa la kikristo katikati ya taifa la magaidi wa kiislamu ni ya kiume kweli kweli.
Salute Rothschild family.
Na familia hii ndio msimamizi mkuu wa hazina ya Vatican,(km kuna mtu alikua hana habari hiyo).Na hakuna taifa lolote haya makubwa mfano USA hawezi anzisha vita yoyote duniani bila hawa jamaa kukubali. Ndio wenye fedha so kila vita lazima Vatican wakubali kwanza. Wakigeuza kisogo yaan kukataa hiyo vita inakuwa haipo.Unaweza sema ni conspiracy lkn ndio ukweli wote .Na hizi grand families ziko tano ROTHSCHILD, ROCKEFELLER, JP MORGAN et al. Wasimamiz wa bajeti nyeusi.
Umenena Mkuu!!, haya majamaa yana agenda mbaya dhidi ya RC.Sema kama greatthinker ukiambatanisha Na ushahidi sio chuki zako juu ya RC nawe uonekane unajua..
Thibitisha hiki ulichoandika
Leta Ushahidi hapa, acha kupopoma bila evidence.wajinga wengi hudhani Israel ni taifa la kikristo. Wakati huyo Yesu hawamtambui hata sekunde!
πKiswahili ni kirahisi sana.