Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

daah ila ange adopt tu, kuna watoto wengi wanahitaji wazazi...
Mtoto ambaye hujamzaa ni vigumu sana kumtrust kama mwanao.. Asilimia kubwa wanakubetray tu. Watanielewa waliolelea watoto wa watu
 
Jamaa kaoa tangia 2002...... Tatizo linaweza kutatuliwa... serio bado jamaa anapokea sim za shamsha ford? jamaa kuna kipindi alikuwa anakubania sana.....
hahhahahahaaa... nshapotezeaga mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…