Pre GE2025 Jacqueline Kainja Atumia Milioni 14.7 Kukarabati Ofisi ya CCM Wilaya ya Urambo Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7)

Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023 wakati wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) lililofanyika Wilaya ya Urambo huku akikishukuru Chama Cha Mapinduzi kwa kumpa ushirikiano na kupokea mchango wake wa kujenga Chama Cha Mapinduzi

Aidha, Jacqueline Kainja Andrew amesema kuwa, ukarabati wa Ofisi za CCM Urambo uliofanyika sasa ni wa awali kwani ukarabati utaendelea katika hatua zingine zijazo ili kuwa na miundombinu mizuri ya kufanyia kazi za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Vilevile, viongozi wa Chama na Serikali amempongeza Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew kwa mchango wake ndani ya Chama hicho na kutoa msisitizo kwa wanachama wengine kuendelea kuiga mfano kwani Chama Cha Mapinduzi ni cha watu wote na hivyo ni lazima tuungane kuendelea kukijenga Chama Cha Mapinduzi.

WhatsApp Image 2025-03-04 at 10.52.53.jpeg

WhatsApp Image 2025-03-04 at 10.52.53 (1).jpeg

WhatsApp Image 2025-03-04 at 10.52.53 (2).jpeg
 
Dahhhh....
Hii nchi imejaa utapeli wa kila aina wallah...
Sasa hapa kuna utapeli gani umefanyika ndugu yangu? Mtu kawa mdau wa maendeleo ya CCM, na wewe nenda kwenye Chama chake uchangie kitu. CHADEMA wana Tone Tone wao hawasemwi.
 
Kwa hiyo Jack ndo anataka kumtoa mama sitta? anyway wote hakuna kitu
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7)

Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023 wakati wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) lililofanyika Wilaya ya Urambo huku akikishukuru Chama Cha Mapinduzi kwa kumpa ushirikiano na kupokea mchango wake wa kujenga Chama Cha Mapinduzi

Aidha, Jacqueline Kainja Andrew amesema kuwa, ukarabati wa Ofisi za CCM Urambo uliofanyika sasa ni wa awali kwani ukarabati utaendelea katika hatua zingine zijazo ili kuwa na miundombinu mizuri ya kufanyia kazi za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Vilevile, viongozi wa Chama na Serikali amempongeza Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew kwa mchango wake ndani ya Chama hicho na kutoa msisitizo kwa wanachama wengine kuendelea kuiga mfano kwani Chama Cha Mapinduzi ni cha watu wote na hivyo ni lazima tuungane kuendelea kukijenga Chama Cha Mapinduzi.

View attachment 3258513

View attachment 3258514

View attachment 3258515
Rshwa Pro kwann haafanya hivyo miaka yote???. Na ccm ni taasis kwann pesa !ake zisipite kwenye mfuko mkuu???
 
Kwenye picha kuna akina mama ambao nyuso zao zinaonyesha wanahitaji msaada. Angetoa hizo hela kama msaada kwa akina mama wenye maisha duni ningemwelewa.
 
Sasa hapa kuna utapeli gani umefanyika ndugu yangu? Mtu kawa mdau wa maendeleo ya CCM, na wewe nenda kwenye Chama chake uchangie kitu. CHADEMA wana Tone Tone wao hawasemwi.
Uchaguz unakaribia Acha mtapeliwi

Ova
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7)

1741167745386.png
Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023 wakati wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) lililofanyika Wilaya ya Urambo huku akikishukuru Chama Cha Mapinduzi kwa kumpa ushirikiano na kupokea mchango wake wa kujenga Chama Cha Mapinduzi

Aidha, Jacqueline Kainja Andrew amesema kuwa, ukarabati wa Ofisi za CCM Urambo uliofanyika sasa ni wa awali kwani ukarabati utaendelea katika hatua zingine zijazo ili kuwa na miundombinu mizuri ya kufanyia kazi za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Vilevile, viongozi wa Chama na Serikali amempongeza Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew kwa mchango wake ndani ya Chama hicho na kutoa msisitizo kwa wanachama wengine kuendelea kuiga mfano kwani Chama Cha Mapinduzi ni cha watu wote na hivyo ni lazima tuungane kuendelea kukijenga Chama Cha Mapinduzi.

1741167714998.png
 
Picha zilivyo pigwa kihuni huni. Uwezi kuna iyo 14 milion.
 
Back
Top Bottom