tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
I second you. Watu tuliopo hizi field za Afya tuna siri kibao tu ndugu. Na tunajua ilikuaje siku anaondoka home na kwenda kuishi na huyu jacky.Acha fix mzee alikuwa kitombi mama akaongopa mzee atamletea magonjwa
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Ule wosia hakuna mwanasheria yeyote wa mengi au ipp,mwanasheria wa mengi anaitwa ngalo miaka yote anajulikana,hata kwenye msiba ndio alikua msemajiInavyonekana hwa watoto walisharithi kwa mama yao na pnegine hata wakati mzee anagawana mali na mama inaonekana watoto walishabikia kw amama yao ndio maana mzee kakomaa kuwa mtakula mliko peleka mboga(Ushabiki)
Hakuna kampuni kubwa inaweza kuongozwa na mjinga kiwango chake dunianiAsantee umemaliza yote,kinachomfanya ayalete kwenye mitandao ni nini? Baada ya kuona Mahakama imempa Regina haki ya kuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP ameanza kuruka ruka,seriously alidhani yeye ndiye angekuwa Mwenyekiti ?
Nenda karithi za ally mfuruki ni wakwenu huyo,ipp ina chairman tayari kwa amri ya mahakama,mrundi alijua atakua chairmanHata ningekuwa mimi siwezi kuwapa kitu watu wasio na adabu kama hao wanashindwa kumsapoti baba yao akiwa hai wana taka vyake akiwa amekufa!
Ukiacha haya yote lakini kamwe hawatoweza shida hiyo case....
Ofisi ya wanasheria wahaya iko magomeni,[emoji16][emoji16]ipp inaweza kua na wanasheria uchwara kweliNdio mana ndugu wanasema mzee alipatwa na uchizi wakati akiandaa huo wosia,hivi kwa akili za kawaida ule ni wosia wa MTU aliyekuwa Legendary kama mzee Mengi?na kurukwa kwa akili kunakozungumziwa hapa sio Kama ule wa kupelekwa Milembe,Mzee yawezekana aliandika wosia akiwa kwenye mapaja laini ya Jack.Unategemea nini kama sio kurukwa akili wakati huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anamiliki kilabu cha lubisi huko temekeEti ungekuwa wewe , ukute unamiliki KIROBA Cha boxer na chupi za Bambino huo utajiri uutolee wapi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Regina ana miaka 49 wakati Jackie ana miaka 41. Yaani mama anatakiwa amwamkie mwanawe 'shikamoo mwanangu'.Yani sisi wanaume bana. Mbabu yule kaenda kuoa kadogodogo sawa na mtoto wake Regina, unategemea kweli kutakuwa na heshima hapo? ... tayari familia hii ilishajenga concept kwamba msichana huyu kaja kufuata pesa hapa, si kingine, yani kwamba akose wanaume angalau wa rika lake, aje kuangukia kwa mwanaume mwenye rika moja na babaye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nliwaambia watu humu kua regina ndio boss wa ipp kwa amri ya mahakama,kuna bushlawyer humu kilaza wa ccm amezoea kuandika mikataba ya kupangisha vyumba.
Anaongea kma mwenye ujuzi washeria kumbe kilaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhhahaaja nimecheka hahahhhaa
Utawaweza hawa Mabush Lawyer? Hili swala liko wazi sana kwa kila mtu! Yes Regina ndio Chairman wa IPP na hata huyo Mjane kathibitisha mwenyewe kwenye Interview kuwa Regina ndio anacontrol kila kitu kwa sasa! Sasa sijui wanataka ushahidi gani mwingine? Ujue mambo yangekuwa yanamwendea vizuri angekuwa kimyaa baada ya yeye na Wahuni wenzie kuleakisha ule Wosia mitandaoni,but plan iliflop vibaya sana badala ya kuonewa huruma,Wananzengo ndio kwanza tumemkalia kooni! Hakuna janja janja ya kuvuna usipopanda,yule Dada yake alieifilisi Pride eti ndio alikuwa ni mmoja wa Wasimamizi wa Mirathi [emoji3][emoji3],aende Sasa akamuhoji Madam Chairman Regina kama ana huo ubavu!
Hiyo habari ya kuwa ndugu ndio wana uchungu siku zote siyo kweli. Kesi za ndugu kuuana zimekuwepo tangu enzi za Kaini na Abeli kwenye Biblia, kwahiyo watu kuwa ndugu siyo guarantee kwamba wanapendana.Huyu mwanamke mnafiki tu anadhani yeye ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake?
Tena awe makini maana anaweza kushinda kesi wakamroga hata mali asifaidi chochote. This is Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ungekuwa wewe , ukute unamiliki KIROBA Cha boxer na chupi za Bambino huo utajiri uutolee wapi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndio mjane mjinga kuliko wote tanzania,atapata % ya watoto wake wakivuka 18 sasa hivi ataishi kwa allowance tu.dada yake hana kitu jamaa aliondoka kwa kutoroka hana mia huko alipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamfahamu R Mengi kuliko Jacline anavyo fikiri. Ule wosia hakuandika Mengi japo alisainishwa akiwa "senile'. Na ndiyo maana bi-dada kasimamia hapo kuwa mumewe alidhalilishwa kwa madai ya akina Benjamin kuwa Mengi hakuwa sawasawa kiakili.Okay jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!
Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti. Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu !!! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu !!!
Analeta ukabila wa niniMkuu mbona umechafukwa ghafla[emoji1787][emoji1787][emoji1787]