Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Sio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake
unamaanisha Mjane na watoto wadogo wamerithi viwanda vya bonite moshi na cocacola kwanza limited mwenge ?Sio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake
hajapewa hichi kiwanda alikuwa anamlilia mzee ampe mzee akamtosa akampa kampuni zake ambazo haziingizi mpunga kivile, bonite alishashituka mapema mzee wetuSio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake
Hongera Klyn wengine ilibidi tukeshe tunaandika essays na kichambisha wazee ili angalau tujenge nyumba za kuishi.
Lakini kulala na grandpa haikua kazi nyepesi.
[/QUOTEusinikumbushe issue za kuosha wazee hahaha usiombe uoshe asubuhi looh, mwenzetu katumia K yake tu
Swala Mengi hayumoCoca cola kwanza is the best in east and central Africa,mitambo yake hata south Africa hakuna
Mzee aliingia kwenye uchimbaji wa dhahabu na mererani ana mgodi wa Tanzanite
Kuna kampuni ya kutafuta gesi swala plc,inauza hisa Lse na Nyse,hatari tupu
Sio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake
Kampuni ipi kapewa huyo dada? Maana hata hizo alizoanzishiwa zimesajiliwa chini ya IPP. Hivyo ni mwendo wa dividends tu hapo.hajapewa hichi kiwanda alikuwa anamlilia mzee ampe mzee akamtosa akampa kampuni zake ambazo haziingizi mpunga kivile, bonite alishashituka mapema mzee wetu
Mmmmh1,288,168,000
Kwa hivi umeandika ukitaka kusikia wanawake watasema nini?
Hii nayo ni habari ya kupikwa aka udaku
Umejuaje kama kaachiwa kiasi hicho
Fanya kazi kwa bidii nawe uwe nachako cha kumwachia mwenza wako epuka umbea
Wale wanaohangaika kumsakama watakufa kihoroInaripo website moja kutoka Zimbabwe, Inasemekama mzee Mengi kamuachia jack more than $560M
I love it!!
Story kamili follow link below
View attachment 1094795BREAKING : 75-Year Old Tanzanian Billionaire Dies & Leaves $560m For His 39-Year-Old wife
The richest man Tanzania, Reginald Mengi has been reported dead and the fortune he has left for his surviving wife who is said to be 39-years old, has stunned readers online. The business tycoon le…zimbabwehuchi.com
nilipunguza sifuri mkuu hesabu kamili ni trilioni moja, bilioni mia mbili themanini na nane, milioni mia moja sitini na nane.Mmmmh
Sawanilipunguza sifuri mkuu hesabu kamili ni trilioni moja, bilioni mia mbili themanini na nane, milioni mia moja sitini na nane.
TSH 1,288,168,000,000 = $560m
cc kevin strootman
Wivu utakuua wewe! Aliyekukataza kulala na grandpa nani? Au una sura ya kima?!Hongera Klyn wengine ilibidi tukeshe tunaandika essays na kichambisha wazee ili angalau tujenge nyumba za kuishi.
Lakini kulala na grandpa haikua kazi nyepesi.