Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Nafikiri hii case bado mbichi kabisa na Kylin anayo nafsi ya kukata rufaa huku twita hakuna msaada wowote kabisa.
Anayo nafasi ya kukata rufaa au akubali yaishe asubiri mgao wa mali
Hiyo barua tuu ni utopolo ya 2016 inaongelea mambo ya 2017
 
Huyu dada anahitaji ushauri wa kina maana asipokuwa makini anaweza kujitengenezea kesi nyingine ya ku- disclose medical records ya mtu in public. Legal matters angezielekeza mahakamani, sometimes seeking Public sympathy kwa mtindo huu ni so cheap
Hiyo ni akili ya kidangaji mkuu
Na pengine anatafuta huruma
 
Kabla sijakujibu naomba nikuulize personally

1.Unaweza kununua stuli kwa tsh.3M?
2.Unaweza kununua kitanda kwa 7M?
3.Unaweza kununua coffee table kwa 4M?
4.Unaweza kununua kitanda kwa 10M?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mpare hebu niache, na mlivyo wa bahili sasa, huyo ndugu yako anaweza nipa kweli?
 
Ana biashara ya furniture
 

Inashangaza sana mtu anabisha tu wakati Hukumu ipo wazi na iko well detailed. Mtu anashupaza shingo wakati hata page moja ya hiyo hukumu hajasoma. Hii ilikuwa ni High Profile Case,hakuna Judge anayeweza kuruin reputation yake kwa kupindisha sheria ili kufavour upande flan,maana hii itakuwa moja ya reference za kesi nyingi za mirathi huko mbeleni.
 
Well said Mkuu. Mwendazake was smart,mwanzo sikuwa namwelewa lakini kwa sasa baada ya hii hukumu ndiyo najua Mengi alimfix huyu Mjane in a very smart way. Angekuwa anataka kumpa zaidi lazima angehusisha Wanasheria wa familia kina Michael Ngallo ambao wanajulikana siku zote.Kwa sasa Slay Queen mjane apambane na hali yake,na akiendelea kuleta za kuleta hata hapo Kinondoni atapasikia,ataishia kupewa Appartment moja huko Masaki mchezo unaisha,maana ule Mjengo pia uko chini ya Family Businesses (IPP).
 
Lijinga sana asee...kazi kuwaza kunywa Frexnet champagne from Nice, france

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mengi hakuwa na hela na ndio maana hata kule Dubai ilibidi waombe msaada Bonite

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes

Yule mzee hakuwa na cash,ni assets za kufa mtu na alikuwa akitaka mtonyo ni lazima malaywer wa familia watie signature, na hiyo cash ijulikane inaenda kufanya kazi gani

Mi nashangaa mnamlaumu Jacky kutokuwa na hela, pale aliambulia bata na kukojolewa uzee basi, ndo maana akawa anaforce hiyo fake will iwe valid ale mema ya nchi[emoji41]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Why is she putting some of his medical records in public? What’s to gain from that?

What the F is wrong with her???!!
Umeuliza swali kama hujaenda shule vile. Kwa msomi kama wewe ulitakiwa kuuliza " kwanini tarehe ya barua ni mwaka 2016 halafu inaelezea matukio ya mwaka 2017/19.?"

This document is void ab initio.
 
Kwamba tamaa tu za kiherehere zile? We ushapewa mzigo una Billion kadhaa benki sasa maisha yatakushindaje! Hivi muwekewe mzigo kama 30B kwenye account zenu wewe na wanao kuna shida ya kugombania mali kweli hapo?

Kwanza Mimi Mkuu ningejipendekeza sana kwa Watoto wakubwa,ningewaacha wafanye wanachoona ni sawa kwangu,kina Regina na Kaka yake hawana watoto,hawa mapacha wanawachukulia kama watoto wao,sasa wewe mjane kiranga cha nini tena? Watoto wanasomeshwa,wanapata kila kitu,unataka nini kama siyo kuwa na PHD ya Ujinga kichwani?
 
Kabla sijakujibu naomba nikuulize personally

1.Unaweza kununua stuli kwa tsh.3M?
2.Unaweza kununua kitanda kwa 7M?
3.Unaweza kununua coffee table kwa 4M?
4.Unaweza kununua kitanda kwa 10M?

Kisa tu kitanda kimetengenezewa mabaki ya mbao za Meli flan huko Ulaya,wakati mabaki hayo hayo ya mbao za meli Wajasiliamali pale soko ka Ferry wanakaangia Samaki [emoji3][emoji3]
 
Kukojolewa whaat?[emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Asee...huyu demu huyu mzee alimdanganya asee!

Itakuwa alikuwa ameshamstukia nia yake kwake, zee la mjini lile kihuni mpaka we mdangaji utamdanganya nini[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna uwezekano yule Mzee alikua anasengenywa na kunyimwa tendo.... mzee hakuwa na lakufanya sababu yuko dhaifu.
Sidhani hata alikua akimtia yule dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…