Jacqueline Wolper Massawe: Ali Kiba ndio alionifunza mapenzi

heee huyu dallas ndo ana moyo wa huruma hv......yaan atoe vitu vyote aishie kukis shavun

dallas ni bwana mdogo tu nazani alikuwa anatafuta umaarufu ila nowadays yupo juu ya mawe!!!
 
Katubu jamani, kwani nani msafi? Mwacheni bwana,apo cha msingi ni kujifunza nyie wadada mnaopenda vya bure,mwenzenu x6 imemtokea nyuma anajuta,so kaongea ukweli ili mjifunze na nyie,sio kupapatikia maisha ya watu,someni au fanyeni biashara mpate za kwenu
 
Tamaa zake ndio zilimponza kutaka maisha ya ufaharahi wakati hana hela, unawezaje kupokea vitu wakati humjui mtu je kama ni Jin au vya uwizi, njaa mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…