Jada Smith akubali yeye ni mraibu wa ngono

Mimi mwenyewe nilikuwa naona mwanamke mmoja hanitoshi. Bado napenda kula vitu vyangu ila situations zinabadili sana mtu. Nipo kwa Trump sijala miezi kibao na niko fresh tu na wala siwazi. Kimsingi ukisikia kuhusu uwezekano wa kuwa deported, kufilisiwa nk hauwezi kuwaza uchi wa huku. Unakaa na ukeke maisha yanaenda.

Apewe mazingira ya sampuli hiyo
 
Niko na Long distance Relationship. Amini inawezekana, kuishi hata miaka 10 bila kujigjig. Kama ilivyo wanao jigjig karibu kila siku kama kina Jada.
Kwa style hio lazma u survive mda mrefu🤣 japo upwiru lazma ukabe koo mara kwa mara! Mwanamke anaweza himili kama hapati external push. I believe mnaweza kuvumilia muda mrefu kama hakuna mtu anachokonoa mtambo wa hisia zako.😁
 
Jada Shakur. 😎

Smith alivamia chaka kwa kiwembe. Hiyo manzi ilikuwa imefika kwa mhuni Pac.

Huyo mshangazi anahitaji thug love & thug faking. Siyo penzi la kiofisa. 😎

-Kaveli-
 
Kwa style hio lazma u survive mda mrefu🤣 japo upwiru lazma ukabe koo mara kwa mara! Mwanamke anaweza himili kama hapati external push. I believe mnaweza kuvumilia muda mrefu kama hakuna mtu anachokonoa mtambo wa hisia zako.😁

Kama ni kweli ayasemayo huyu mrembo Bantu Lady , basi yeye na mrembo Jadda wa jf ni ndege wafananao, I guess. 😎

-Kaveli-
 
Hapo Smith aamue kusuka au kunyoa maana Jada sio mnafiki. Yeye ni Malaya na anasema yeye ni Malaya na anapenda umalaya, Huku Tanganyika ni unafiki unafiki tu.

Jada Pinkett.. nimempenda bure kwa kuwa muwazi na mkweli to the world. Dunia itambue kuwa yeye anapenda kupigwa miti all the time.

Mwanamke muwazi ni mzuri. Ila Wanawake wa kibongo ni full unafiki na kujivunga. 😎

-Kaveli-
 
Kwa style hio lazma u survive mda mrefu🤣 japo upwiru lazma ukabe koo mara kwa mara! Mwanamke anaweza himili kama hapati external push. I believe mnaweza kuvumilia muda mrefu kama hakuna mtu anachokonoa mtambo wa hisia zako.😁
Kwa mazingira yalivyo ni ngumu kuishi bila kuchokonoa hisia, labda kwa Ke, ila Me kuishi bila kushawishika sijui utaishi namna gani!!
 
Namuhurumia will smith, brothers walijaribu kumuonya but he didnt listen
It time sasa ajiangalie na yeye, ana good career, watoto wakubwa tu, SIMPING IS NOT A SOLUTION
America is the worst place to get married for a man. Hapo mwamba akitoa talaka almost 70% ya utajiri wake anapewa mkewe. Nafikiri will smith kakubali tu kujifanya mjinga kulinda mali zake. Mwanamke mwenyewe ana kansa uyo possibly hana miaka mingi ya kuishi ukilinganisha na will smith
 
Jada Pinkett.. nimempenda bure kwa kuwa muwazi na mkweli to the world. Dunia itambue kuwa yeye anapenda kupigwa miti all the time.

Mwanamke muwazi ni mzuri. Ila Wanawake wa kibongo ni full unafiki na kujivunga. 😎

-Kaveli-
Tatizo hajamtendea haki mumewe. Angeweza kubaki kuwa single ili awe huru kukizi haja zake. Sasa hapa will smith uvumilivu wa hizi disrepsects za mkewe ukimshinda maana yake anaenda kupolomoka kiuchumi kwa sababu atapoteza almost 70% ya mali zake
 
"Baby taratibu mm sijawahi" Alisikika slay queen.
 
Tatizo hajamtendea haki mumewe. Angeweza kubaki kuwa single ili awe huru kukizi haja zake. Sasa hapa will smith uvumilivu wa hizi disrepsects za mkewe ukimshinda maana yake anaenda kupolomoka kiuchumi kwa sababu atapoteza almost 70% ya mali zake
Na sisi wanaume wakati mwingine tuna ung'ang'anizi, ukute Smith alikuwa anajua kabisa ila akaamua kubeba.
 
Weka source.
 
Duh 4 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…