Jade Vance amemzidi mbali boss wake Trump

Jamaa anapokaa eye shadow, na eye liner, mimacho yake ya kuzimu inaeleza wazi kinini Wamarekani na dunia tutapata.

Mjadala inabidi uwe inakuwaje mwanamme mzima anapokaa eye liner.
Ndo Nini icho mkuu
 
Sasa Kijana wa umri huo utamlinganisha na Mzee kama Trump? Hilo sio liko wazi tuu
 
Kwa maoni yako.
 
Ukweli ni kuwa, kwa sasa warepublican wengi wanasema ni bora huyo Vance angekuwa mgombea wao wa urais kuliko Trump.
Hii ina maana gani?
Kuna kila dalili kuwa, warepublican wengi kimtindo wameanza kumkatia tamaa Trump kuweza kushinda, hawaoni namna rahisi ya kuweza kutoboa mbele ya Kamala Harris ambaye amezidi kuchanja mbuga kuelekea Ikulu.
 
Noo Harris sioni akishinda Georgia,Arizona ,North Carolina hizo states atapigwa ila Pennsylvania ndo itaamua winner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…