Jaden Smith aendelea kusimangwa kwa kuvaa nguo za kike

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411

Chanzo: Mtanzania
 
Mkuu tupia naka picha ka jadimpoz tumuone
 
Hivi vitoto vya wanamuziki na wasanii maarufu huwa vimevurugwa na umaarufu wa wazazi wao toka vikiwa vidogo. Si ajabu kakakuambia kuwa ni kashoga tayari.
 
Yaani hivo hapo ndio anaona anapendeza?? Ama kweliii,
 
Huko Marekani akiolewa sio kitu cha ajabu. Ajabu ni kwanini watanzania wanapenda kulialia hata kama mambo ayawahusu
 
yani tofauti kabisa na yule wa karate kid huyu ni balehe period inamsumbua
 
Ni ujinga kuvaa nguo za kike
Ni ujinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…