Jaden Smith aendelea kusimangwa kwa kuvaa nguo za kike

Duh staajabu ya musa...yaani unaanzaje kuvaa sketi na blauzi mwanaume rijali!
 
Scientology. ..not witches of the modern world? And that is there new discovery
 
Aliwahi Kusema Anataka Kufanya Jambo Kwenye Mavazi. Yeye Ni Mwanamitindo. Huko Mbele Tutashuhudia Haya Mavazi Yakitrend. Ndio Kilichobakia, Ubunifu
 
mototo mashalaaah kabisa huyu.....tehtehteh
 
Wazazi nao wanachekelea for the sake of 'uhuru wa kuchagua'.....
 
Kacute sana haka katoto,lakini sasa haya mavazi yake, mwishoe watu watakaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…