Hiyo hapo taarifa:-
Mkali wa Bongo Jaffarai Jaffarhymes Mshamu amemlipua na kufunguka kwa Mbunge wa Mbeya Mh. Joseph Mbilinyi Mr. II Sugu hivi
Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!![/h]Maneno hayo aliyaandika kupitia kurasa yake ya Facebook ambayo Mastaa wengi huwa wanaitumia kufikisha ujumbe ikiwemo na kuchat kwa saaana.
Source: Hassbaby Blog