Jaffarai amemlipua Sugu baada ya kauli yake ya kukataa kufanyika Fiesta mkoani mwake sasa jaffarai amjibu na kumwambia si kweli kwamba wakazi wa Mbeya hawaitaki yeye mwenyewe alisoma Mbeya na kitovu cha Hip Hop kipo Mbeya, funguka zaidi www.hassbaby.blogspot.com
Jaffarai hana shukrani, alipaswa kumshukuru Sugu kwa kumkomboa kutoka katika utumwa wa yule Bibi Shyrose. Imagine Jafarai angeachwa na Shy wakati kaishafikia umri wa kustaafu muziki ingekuwaje? Pale kwa Shyrose aliondoka na begi la nguo tu, lakini saizi atakuwa ameishaanza kujifunza maisha, nimeona katoa video nzuri tu, akipata vihela atahama kwa mama yake mzazi apange chumba/nyumba then anaanza maisha binafsi. Amshukuru Sugu kwa hilo. Pili amshukuru Sugu kwani anataka kuwatoa tongotongo wanamuziki wa bongo dhidi ya unyonyaji wa Clouds, sasa kama yeye amenyonywa na Shy miaka 10 na anataka aendelee kunyonywa na hawa matapeli wa clouds shauri yake ila Sugu kaishatoka saizi sio mshindani wake tena, yeye ashindane na akina Ngwea, J Mo, Juma Nature nkmkuu tupakulie hapa habari yote kwani ukiweka link ya blog yako inakuwa kama twazunguka sana...imagine kila mtu atupie link hapa.mwishoe JF itakuwa full links.
hata kama waipigia promo blog yako...weka habari na pale chini onesha source...kama ya ukweli watu wataipenda tu.
ni mtazamo tu