Jaffarai, kauli na matendo vinapotofautiana...

Alitutangazia humu humu kuwa ameachana na Shree but kila aendapo mbona yupo ???
 
nami anishangaza...labda wamerudiana
 
Ni nani huyo jaffarai jaman?
 
chezea pesa za ubunge nn? Nani anapenda kuishi maisha ya kimaskini? Not jaffarai ofcoz
 
Sugu vipi nae kamtema shy?mdee nikija club utanikubali tucheze pamoja blues?
 
Kwani tatizo likuwapi, watu wakiachana haimaanishi wamegombana, watu wamekuwa pamoja kwa muda mrefu kwa hiyo kuna mengi wamefanya pamoja kwa hiyo waacheni watu wana mipango sio kla mkiwaona mnawaza mapenzi tu.
 
Si ndo hapo sasa,
 
Tukiwa wenye kushughulikia yanayotuhusu zaidi itatusaidia kujikwamua kiuchumi mapema sana, lkn km tutazidi kuendekeza maisha yetu ya kufatilia kila lisilo na mashiko kwny maisha haya ya mchakamchaka tutaishia kuwa wauza kahawa na wambea tusioeleweka mwanzo wetu wala mwisho wetu! Ni mawazo yangu tu!
 
Hakuna jamii kama hiyo Dunia ya leo, pia wewe kama ungekua unatekeleza uliyoyasema hata kureply hapa usingereply! Asante kwa kupita hapa kwani inaonyesha u-mmoja wetu.Ni mawazo yangu tu!!!!
 
Kwani tatizo likuwapi, watu wakiachana haimaanishi wamegombana, watu wamekuwa pamoja kwa muda mrefu kwa hiyo kuna mengi wamefanya pamoja kwa hiyo waacheni watu wana mipango sio kla mkiwaona mnawaza mapenzi tu.

Mawazo yako yako sahihi lakini kuachana kwa Shyrose Na Jaffarai kulikuwa Na tafrani km vile hawakuwa pamoja mda mrefu.Tulishasikia mara kibao Jaffarai anaongea ***** kuhusu
 
Sasa akimuacha atakula nini, wakati albamu zake haziuzi?
 
Baada ya kulialia redioni na vyombo vya habari mzigo wake unaliwa na Sugu, hadi kuishia kumwita Shyrose "kicheche" dume zima bado linajigonga kwa demu. Si ajabu Jaydee na Gadner hapo wanajaribu kusuluhisha mambo, maana njemba njaa kali tuu na usanii wake wa bongofleva kwani ukweli ni kwamba alikuwa analelewa na Shyrose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…