Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,264
Reaction score
2,676
kwenye facebook page ya jaffarai inasema:
NIMEAMUA
KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI
WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA
8 SHYROSE BHANJI..
 
mnakosea jamani Shyrose ndo kaachana na Jaffarai. Jaffarai hawezi kuachana na Shyrose hata siku moja.
 
BTW, who is Jaffarai and who is Shyrose?...naomba kujuzwa!
 
Baba_Enock muache mwenzako alonge.....hii ni forum ya celebrities, na hao ni macelebrities, muache jF senior expert member apost....ndio maana anaitwa senior expert.....lingekuwa jukwaa la siasa ndio tungesema LOW....ila kwa hapa ni sawa kabisa.
 
Nimeikuta hii kwenye ukurasa wake wa Facebook "NIMEAMUA KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA 8 SHYROSE BHANJI.."
 
Duh unaperuzi mpaka facebook,hahaha!! Wewe kiboko! Anyway turudi kwenye mada, ngoja wenye data watahabarisha zaidi...
 
hayo mambo yao bnafsi mbona watu wanaachana kila cku na akuna matangazo wala nn
 
mnh miaka minane????saa hizi walitakiwa kuongelea ndoa/watoto wenyewe ndio wanaachana???
afu why put in public??au ana agenda yake huyo jaffarai?:twitch::twitch:
 
sasa sisi tufanyaje kwanza hawakuwa wameoana kwa hiyo ni juu yao bana mbona wengi tu wanaachana na hawaandikwi humu let them live their lives bana
 
What is the big deal?

Naye huyo kijana kama ametundika kwenye Facebook ni lazima atakuwa na pschy problems!
 
Pelekeni kule kwenye udaku...
 
Back
Top Bottom