Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana



Jafarai lazima alie kilio cha samaki......toto guu guu
 
heshima itakuwepo sasa kwa sababu thamani ya mwenzio utaiona wakati atakuwa hayupo nawe. lets learn to respect ourselves inorder to be able to resolve our domestic issues its not good if it goes public, these are discreet matters
 
jamaa anchonga sana kakosa mengi anahitaji ushauri nasaha mwanaume mwenzetu,mwanaume kuwa binti ni hatari sana tujiangalie:behindsofa:
 
Hivi hao walivyokopi majina ya watu ktoka facebook ni haki kweli
 

tupo pamoja mchungaji!!
 
nani kazirudisha izi ishu tena hapa???aaaggghhrr!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…