Jafarai alikuwa anampeleka wapi yule BIBI KIZEEE
Jafarai ndio kaachwa asilete za kuleta hana lolote kwani alikuwa anafuata PESA kwa yule Demu.
Demu naona kaamu sasa kuona Mbele kwani Umri Unasonga mbele (KM Zinasonanga ) wkt huyu kijana bado ndio yupo kwenye Bongoflava...............yaani vichwa vyao vina shika Channel tofauti
Cha huyu kinashika Clouds radio wkt cha mwingine kinashika Radio One.............wapi na wapi
Shyrose tafuta m2 mzima mwenzako utulie naye Muendeleze maisha achana na hao BongoFalava hawana lolote watakupasua Kichwa wkt ww una PR yako nzuri sana