Uchaguzi 2020 Jafo for presidency 2025

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Jamaa namkubali sana ametulia naamini atatufikisha mbali sana.
Kama kweli anaandaliwa na iwe kweli.
Piga kazi Jafo
 
He deserves kwa sasa yeyote anayeweza kutofautisha shati na blauzi anaweza kuwa rais!
 
For instance, Magufuli is not a presidential material. Sasa hapo utapima mwenyewe ili mtu uwe raisi unatakiwa uweje.
Jibu swali@ au nitajie nani ni presidential material
 
Jamaa namkubali sana ametulia naamini atatufikisha mbali sana....
Km kweli anaandaliwa na iwe kweli...
Piga kazi jafo
Huyo kwao hakuna maendeleo bora wangemchagua Kingwendu.Halafu ana wake 4 jee huoni tatizo hilo?
 
Promo wakati anastahili simjui na wala hanijui@ zaidi zaidi mi namuona kwenye TV tu..
Usikute wewe ndo mheshimiwa mwenyewe, upo kwenye vx ya wizara kiyoyozi cha ngùvu umetoka kula mchemşho wa samaki kìbua ukàjianzishia uzi
 
He is not a presidential material.. May be RC or DED
He is just" one eyed man among the blinds"..........anyway kila mtu anaweza kua raisi wa Tz hilo nilisha ligundua as long akitoka kwenye timu ya Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…