Jafo Huu Ujasiri sio wa Kawaida

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Tuzo ya Ujasiri wa hali ya juu apewe Jafo bila kupepesa macho. Maana kama anaweza pata usingizi akiwa pembeni ya Huu Mwambaa JPM..aisee Hata kwenye maji anaweza lala kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Weka vid clip. Hapo labda mmemkamata a kamera wakati kope zimefunga. Anaonekana kama alikuwa anaandika kitù
 
Unapokuwa umefanya kazi Yako vizuruli unakuwa huna wasi wasi kitu kinacho pelekea uwe ume relax kwa sababu huna wasi wasi

Ku relax kunapelekea kusinzia.. Hamna mtu mwenye wasiwasi akaweza sinzia..

Kongole Jaffo.. 👏👏👏👏
 

Usije Kushangaa baade ukaona Tangazo la Msigwa kuhusu ' Kutumbuliwa ' Kwake kwa hili Kosa ulilomchongea nalo hapa.
 
Usije Kushangaa baade ukaona Tangazo la Msigwa kuhusu ' Kutumbuliwa ' Kwake kwa hili Kosa ulilomchongea nalo hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee baba mbona kama anataka kutapika[emoji126]
 
Mmekosa fitina za kumpiga nazo sasa mnaaza majungu ya kunatisha video na kuscreen shot
Laanakumu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…