Hayo ni maagizo kutoka juu, Jafo akijitia kimbelembele kuongelea hili swala lazima atumbuliwe, atageuziwa kibao kuwa amekuwa dhaifu ndio maana zoezi limekuwa la hovyo, na mkuu anavyopenda kusifiwa wajinga watamsifia kumtumbua Jafo na watamuona kweli dhaifu, ndio yale ya unaniibia penseli halafu unanisaidia kuitafuta!.