Kayenga jr JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 443 Reaction score 349 Mar 13, 2016 #1 Naomba kuuliza mwenye kujua hospital ya jaha ilipo japo nimesikia ni maeneo ya ilala na kufahamu huduma zao zipo vipi na mazingira kwa ujumla please msaada wenu
Naomba kuuliza mwenye kujua hospital ya jaha ilipo japo nimesikia ni maeneo ya ilala na kufahamu huduma zao zipo vipi na mazingira kwa ujumla please msaada wenu