Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Oct 30, 2010 #1 makamu mwenyekiti wa Jahazi Asilia Taifa Bw Ismail Makuke (kushoto) akanusha taarifa ya mgombea urais wa UPDP ambaye ametolewa kugombea nafasi hiyo baada ya kukosea jina lake Fahma Dovutwa ambaye ametangaza kumuunga mkono mgombea wa CCM SOURCE: http://francisgodwin.blogspot.com/2010/10/jahazi-asilia-wakorogana-na-mgombea.html
makamu mwenyekiti wa Jahazi Asilia Taifa Bw Ismail Makuke (kushoto) akanusha taarifa ya mgombea urais wa UPDP ambaye ametolewa kugombea nafasi hiyo baada ya kukosea jina lake Fahma Dovutwa ambaye ametangaza kumuunga mkono mgombea wa CCM SOURCE: http://francisgodwin.blogspot.com/2010/10/jahazi-asilia-wakorogana-na-mgombea.html
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Oct 30, 2010 #2 Jahazi asilia si ndio bendi ya taarab hii??? haya kunani kwenye siasa tena??????
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Oct 30, 2010 Thread starter #3 Msanii said: Jahazi asilia si ndio bendi ya taarab hii??? haya kunani kwenye siasa tena?????? Click to expand... huu ni muungano wa baadhi ya vyama vya siasa kaka
Msanii said: Jahazi asilia si ndio bendi ya taarab hii??? haya kunani kwenye siasa tena?????? Click to expand... huu ni muungano wa baadhi ya vyama vya siasa kaka
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Oct 30, 2010 #4 hahahaha hahaha ah nilikuwa sijui haya kulikoni muungano huu kujichimbia chini ya uvungu??? hatuwaoni majukwaani
hahahaha hahaha ah nilikuwa sijui haya kulikoni muungano huu kujichimbia chini ya uvungu??? hatuwaoni majukwaani
Kudadeki JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 859 Reaction score 52 Oct 30, 2010 #5 nyani said: huu ni muungano wa baadhi ya vyama vya siasa kaka Click to expand... Teh teh teh! Embu tutajie hivyo vyama vya siasa kaka vilivyokuwa kwenye huo "muungano" wa Jahazi Asilia! Bora unge-:tape:.
nyani said: huu ni muungano wa baadhi ya vyama vya siasa kaka Click to expand... Teh teh teh! Embu tutajie hivyo vyama vya siasa kaka vilivyokuwa kwenye huo "muungano" wa Jahazi Asilia! Bora unge-:tape:.