Jahazi la KQ lazidi kuzama

Afadhali huyo kuliko yule wenu aliyewatukana, kuwadharau na kuwadhalilisha huku akiwaambia hamuwezi kumfanya chochote [emoji23][emoji23][emoji23]
"if the federation wants to fire me, let them fire me but again if paying my salary is an issue, will they manage to pay out my contact"
 
County ya kisumu hainihusu mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mombasa county wauguzi wanapiga kazi...
Tena watu wanatibiwa freshy tu
 
Km halipwi mshahara si aende mahakamani basi...punguza jazba...sijui mara hii wataizuia taifa stars au vp
 
You can't pay them, they decided to go and work in other areas, now you are suffering from low number of them, hence unplanned cancellation of flights. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
Ohoo, kisumu haikuhusu kumbe, sasa Kocha wa taifa stars kutolipwa inakuhusu vipi?
County ya kisumu hainihusu mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mombasa county wauguzi wanapiga kazi...
Tena watu wanatibiwa freshy tu
 
Nchi ya asali na maziwa...hela ya ndani[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1205297

CC

Joto La Jiwe
Vipi tena mnashindwa kumlipa kocha wa watu!!!! unakumbuka ili mada ya kocha wa harambe stars vile ulikua umichangamkia eti hatuna hela,..... Haya bado FIFA sasa inamue ndege yenu ikienda nchi yoyote ishikwe hadi mlipe deni manake kila nchi sasa imejua wapi a kuwashika, ilianza na Canada kushika ndege ikaja SA sasa bado FIFA !
 
You can't pay them, they decided to go and work in other areas, now you are suffering from low number of them, hence unplanned cancellation of flights. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
Never have KQ pilots not been paid!!!!
 
Hku tunaishi kwa county babu...km kisumu governor hajawalipa shauri yao hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lkn km ni walimu...basi lazima niwatetee kw sababu hawalipwi na county...umeelewa babu
Ohoo, kisumu haikuhusu kumbe, sasa Kocha wa taifa stars kutolipwa inakuhusu vipi?
 
Sijaona mm..nchi inadaiwa mpka jamaa anamua kuipeleka mahakamani...east afrivmca na dhani ni kw jiwe tu...

Naoma huyo kocha na yule kikongwe awasamehe...manake hamuwezi kulipa madeni, pia kusamehewa mlianza kitambo tu
 
KQ ina marubani wengi hta kushinda tanzania km nchi...
Kwanza marubani muwatoe wapi wakati hta mafunzo yenyewe ni balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You can't pay them, they decided to go and work in other areas, now you are suffering from low number of them, hence unplanned cancellation of flights. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…