What is jailbreak..?? and how can i do that..??
Mkuu kwa kuongezea tu, ni kwamba business model ya Apple Inc. ni 'Walled Garden Approach', wanataka ku-control bidhaa zao zote (Hardware na Software) wanafanya hivyo kupitia iTune store, Apple stores, Network Operators, na Dealers...
Sasa kama wewe kwa mfano umetengeneza ka-application kako unataka ka-run kwenye kifaa (iPhone au iPod Touch) inakuwa vigumu kuka-install bila kupitia iTune store ili kawe digitally signed na wao (Apple Inc. lazima wanufaike kimapato,) mkuu umenena thanx umemaliza nilotaka kusema

mmh!
doctor atakaeuliza swali hapo cjui?!
Chukua haya maandishi yako kama yalivyo na upaste kwenye google search uone mambo mazuri. Kazi nzuri Dr!A jailbreak is simply the ability to run apps and use themes and tweaks not approved by Apple. Jailbreaking doesn't slow down your device or use any extra battery. A jailbreak lets your device be how you want it.
Chukua haya maandishi yako kama yalivyo na upaste kwenye google search uone mambo mazuri. Kazi nzuri Dr!
Hawa ndio w maeengeer wetu. tena ma Dr .ukimuuliza akueleezee hatua kwa hatua mtu akipiga simu mpaka inapokelewa upande wa pili inapitia stage gani anakimbia. Na mwingine huyu hapa chini sijui hata kama anaelewa mambo aliyocopy
Kauluzwa swali 1.
yeye kajibu
Jibu sio sababu Spirit ni compatible tena anasema na firmware series mhhhh . Jibu sahihi ni kwa sababu hiyo spirit inatumia na kuexplit loophole inayopatikana kwenye Iphone OS version za chini below 4. (2.0.3.0) NI kama tofauti ya crack windows XP na Windows 7.
nimeyachukua kama ulivyo na nimeyapaste kwenye google ckuamini macho yangu page yote inaongelea icho icho kuonyesha ni kweli so kwa mara ya kwanza umekubali wengine then gonga thnx
Ni kugongee thanks ya nini kwa kucopy mabandiko ya wenzio na kuyabandika hapa? siku nyingine ukifanya hivyo weka tomato yake aisee! ulitakiwa ubadilishe hata angalau baadhi ya vimaneno Aisee we ni noma nimekukubali aisee!
na ww toa mabandiko yako tuyabandike we kazi kufwatilia mabandiko ya wenzako utafkiri upo hati miliki or tbs toa mabandiko acha kufatanafana
Bora kukaa kimya ni busara zaidi, kuliko kucomment kwa kuiba post za forums nyingine eti ili na wewe uonekane unajua ingali hamna kitu zaidi umecopy na kupaste.....
kama wewe ni mtumiaji wa ipod touch,au iphone unaweza ukashangazwa na jinsi device hzo zilivo limited kwa baadh ya feature kama customization,downloading files from internet,na hata jinsi kila kitu kinavotegemea itunes na appstore...if u want 2 put an end to all of that...jailbreak ur device!